Event venue
Bright Stone Hall
2
Max guests
4h
Min hire
About this venue
Bright Stone hall, ukumbi wa kisasa unaopatikana Mbezi beach Tangibovu, Unaweza kuchukua idadi ya watu hadi 1000, Utapata huduma ya viti na meza, chumba cha maharusi cha kupumzikia kabla ya kuingia ukumbini, full A/C, na parking kubwa ya kutosha magali mengi
Capacity by seating layout
▤
2
theatre
Hire options
BRIGHTSTONE HALL
08:00 – 18:00 · 60 min setup included
TSh 2,500,000 per event