Home
>
Social Halls
>
NGURUKO EVENTS HALL
FROM TZS 1,500,000
NGURUKO EVENTS HALL
MBEZI BEACH MAKONDE
FROM TZS 1,500,000



Overview
This property is in high demand!
7 travelers have booked today.
Available Rooms at NGURUKO EVENTS HALL
NGURUKO EVENTS HALL
Details

Habari, karibu katika ukumbi wetu unao patikana mbezi beach_ kituo cha Inter chickee , ukumbi ni wakisasa unabeba wageni 450
utalipia 1,500,000 kwa siku ya juma mosi kama ukichukua huduma zote kwetu ambazo ni,
CHAKULA
MAPAMBO
VINYWAJI
Pia ukitaka huduma tajwa hapo juu zitoke kwako Utalipia ada ya ukumbi 3,500,000 kwa siku ya jumamosi
KWA SIKU ZA JUMAPILI UKUMBI UTAKUWA
Ada ya ukumbi itakuwa 1,000,000 kama ukichukua huduma zote kwetu nikimaanisha
CHAKULA
MAPAMBO
VINYWAJI
Pia ukichagua kujihudumia mwenyewe huduma tajwa hapo juu Ada ya ukumbi itakuwa ni 3,000,000
Your price includes:
TZS 1,500,000
Leave a Review
Share your experience with this property
Want to leave a review?
Please login to share your experience
Login to ReviewDon't have an account? Register here
Your Travel Journey Starts Here
Sign up and we'll send the best deals to you
Select your currency
π§π· Brazil
BRL
π¨π³ China
CNY
π³π¬ Nigeria
NGN
πΉπΏ Tanzania, United Republic of
TZS
πΊπ¬ Uganda
UGX
πΊπΈ United States
USD
πΏπ¦ South Africa
ZAR